• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji na Udhibiti wa Majitaka
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria na Usalama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Elimu Sekondari

IDARA YA ELIMU SEKONDARI

Halmashauri imepata mafanikio yafuatayo:

  • Ujenzi wa Miundombinu, Halmashauri ilipokea jumla ya Tsh.1, 879,300,000.00 (Tsh. 1,479,300,000 P4R, Tsh. 300,000,000 Serikali kuu na Tsh.  100,000,000 TEA) kupitia fedhahizi, kazi zifuatazo zimefanyika ukarabati wa maabara 2, ujenzi wa vyumba vya Madarasa 19, ujenzi wa mabweni 10, ujenzi wa matundu ya vyoo 43, ujenzi wa mabwalo 2, makataba 1, ujenzi wa nyumba 4 za walimu na ukamilishaji wa maboma ya vyumba vya madarasa 24 na kuwezesha kuwa na mazingira bora ya kufundishia na kujifunzia.
  • Udahili wa kidato cha I  umeongezeka kutoka wanafunzi 2,324 kwa mwaka 2015 hadi kufikia wanafunzi 4,314 kwa mwaka 2020 sawa na ongezeko la 54%
  • Kwa kidato cha V udahili umeongezeka kutoka wanafunzi 147 kwa mwaka 2015 hadi kufikia wanafunzi 429 kwa mwaka 2020.
  • Vilevile Halmashauri ilipokea jumla ya Tsh.2,443,462,539.73  ikiwa ni fedha za ruzuku ya uendeshaji (Capitation) fidia ya ada (kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa, Ukarabati, Mitihani, Michezo, Utawala posho ya madaraka kwa wakuu wa shule  kwa Sekondari. 
  • Aidha idadi za Sekondari za ‘A’level zimeongezeka kutoka Shule 2 za Sekondari kwa mwaka 2014/2015 hadi kufikia Sekondari 4 kwa mwaka 2019/2020.
  • Halmashauri ya Wilaya ya Singida  imendelea kuweka msukumo katika masomo  ya  Sayansi kwa kuimarisha ufundishaji wa masomo hayo kwa ufanisi kwa kutumia nadharia na vitendo ili kuwavutia wanafunzi kupenda masomo ya Sayansi. Na hatimaye kupata watalaam wanaohitajika katika sekta mbalimbali. Katika kuweka msukumo huu Halmashauri imekamilisha   vyumba vya maabara 17 na vyumba 61 vipo hatua ya mwisho ya ukamilishaji, aidha jumla ya shule 11 kati ya 29 zinafanya mtihani wa vitendo kwa masomo yote na shule 18 zimesajili masomo kwa njia ya vitendo pungufu na masomo mawili.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • UFADHILI WA MASOMO VETA June 08, 2022
  • UFADHILI WA MASOMO VETA June 08, 2022
  • WALIOCHAGULIWA DARASA LA SABA 2020 December 20, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • RC Mahenge Agawa Pikipiki 166 kwa Maafisa Kilimo Mkoani Singida.

    June 15, 2022
  • Jengo la Wagonjwa Mahututi(ICU) Katika Hatua za Mwisho

    June 01, 2022
  • Mdau wa Maendeleo JSI akabidhi zawadi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

    December 20, 2021
  • SINGIDADC YAPOKEA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19

    October 25, 2021
  • Angalia zote

Video

Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yafanyika Manyoni Singida kimkoa.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.