Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Singida anawatangazia Wastaafu wote wa Halmashauri kuwa Mfuko wa PSSSF unapenda kuonana na Wastaafu wote wa Halmashauri ya Wilaya Singida ambao wana madai ya mafao ili Maafisa wa Mfuko waweze kushughulikia malalamiko yao
TANGAZO KWA WASTAAFU WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA.pdf
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.