• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

WADAU WA SEKTA YA AFYA NA LISHE WAKUTANA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE.

Posted on: October 21st, 2025

Kikao cha tathmini ya Mkataba wa Lishe, kimefanyika leo, 21 Oktoba 2025 katika Ukumbi uliopo Hospitali ya Manispaa ya Singida, kikihusisha wadau mbalimbali wa sekta ya Afya na Lishe kutoka Halmashauri zote mbili za Wilaya ya Singida. Akifungua kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano na kuweka mikakati madhubuti ya kuboresha huduma za lishe kwa makundi yote, hasa yale yaliyo katika mazingira hatarishi kama watoto na wamama wajawazito.

Lengo kuu la kikao hicho, lilikuwa ni kufanya mapitio ya utekelezaji wa lishe, kujadili mafanikio yaliyopatikana pamoja na changamoto zilizojitokeza katika kipindi husika. Vilevile kupitia mjadala wa pamoja, wadau wameweka mikakati ya kuimarisha utoaji wa huduma bora za lishe katika Wilaya ya Singida.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAWAPONGEZA WALIMU KWA MAFANIKIO YA ELIMU YA MSINGI

    February 14, 2026
  • MHE. ELIA DIGHA AMEONGOZA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI.MHE. ELIA DIGHA AMEONGOZA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI.

    February 13, 2026
  • KIKOSI KAZI CHA SAMIA CHATATUA KERO 952 WILAYA YA SINGIDA

    February 11, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAKABIDHI VIFAA VYA UFUGAJI NYUKI KWA VIKUNDI VYA VIJANA

    February 09, 2026
  • Angalia zote

Video

MHE. ELIA DIGHA ASISITIZA SUALA LA UKUSANYAJI WA MAPATO.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.