• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

VIKUNDI 64 VYA WANAWAKE, VIJANA, NA WATU WENYE ULEMAVU, VYAPATIWA MIKOPO YA ASILIMIA 10

Posted on: May 15th, 2025

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida,  Mhe. Elia Digha ameongoza makabidhiano ya mfano wa hundi, kwa wanufaika wa mikopo ya asilimia 10, ambao ni vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.



Makabidhiano hayo yamefanyika katika kikao cha pili cha baraza la madiwani cha robo ya tatu, kilichoketi katika ukumbi wa mikutano wa Abdallah Nkumbi, uliopo katika Kata ya Ilongero,  ambapo jumla ya fedha kiasi cha shilingi Milioni 354,939,500/= zimegawiwa kwa vikundi 64, ikiwa vikundi 34 vya wanawake wamekabidhiwa  jumla ya Shilingi Milioni 151,850,000/= vikundi 25 vya vijana wamekabidhiwa Milioni 189,986,000/= na vikundi 7 vya watu wenye ulemavu wamekabidhiwa shilingi Milioni 13,103,000/= na fedha zote hizo zimekwisha kuwekwa katika akaunti zao.



Katika makabidhiano hayo, Mhe. Digha aliungana pamoja na Mbunge wa jimbo la Ilongero, Mhe. Ramadhan Ighondo, na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Bi. Ester Chaula ambao kwa pamoja, waliwasisitizia wanufaika wa mikopo hiyo kuhakikisha wanafanyia kazi vizuri fedha hizo kulingana na matumizi  waliyopanga, ili waweze kutengeneza faida na kisha kuzirejesha kwa uaminifu kwakuwa fedha hizo ni mkopo na sio zawadi.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2025 June 10, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 17, 2025
  • MAENEO YA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA January 03, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TASWIRA YA DARAJA LA JP MAGUFULI, (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • MKUTANO WA 3 (2024/2025) WA JUMUIA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (ALAT)

    June 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

    June 17, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.