Halmashauri ya Wilaya ya Singida imepokea fedha Tzs 1,420,000,000.00 kutoka Serikalini kati ya TZS 1,530,000,000.00 zilizokuwa zimeidhinishwa,ikiwa ni mgao wa fedha za mkopo wenye masharti nafuu zilizotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa Taifa na Mapambano ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO-19
Matumizi ya fedha hizi yameelekezwa katika maeneo yanayogusa wananchi moja kwa moja kwa ajili ya kuwaondolea kero,kama vile masuala ya Afya na Elimu pamoja na mapambano dhidi ya uviko -19 kama ilivyofafanuliwa kwenye jedwali hapa chini
NA
|
JINA LA MRADI
|
IDADI YA MIUNDOMBINU INAYOTARAJIWA KUJENGWA
|
KIASI KWA DARASA,NYUMBA
|
JUMLA
|
1
|
Ujenzi wa madarasa katika shule 26 za Serikali za Sekondari
|
58
|
20,000,000.00
|
1,160,000,000.00
|
2
|
Ujenzi wa vyumba vya Madarasa kwa Shule za msingi 4 shikizi
|
9
|
20,000,000.00
|
180,000,000.00
|
3
|
Ujenzi wa bweni moja katika shule ya msingi Mgori
|
1
|
80,000,000.00
|
80,000,000.00
|
|
Jumla
|
|
|
1,420,000,000.00
|
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.