• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

"NENDENI MKASIMAMIE MIRADI VIZURI NA IISHE KWA WAKATI” - MHE. ELIA DIGHA.

Posted on: May 13th, 2025

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida,  Mhe. Elia Digha amewasisitizia watendaji wa serikali ngazi ya Kata na Halmashauri, kusimamia miradi ya maendeleo na kuhakikisha inamalizika salama na kwa wakati.

Mhe. Elia Digha ameyasema hayo leo, akifungua mkutano wa Baraza la Madiwani wa robo ya tatu, uliofanyika katika ukumbi mkubwa wa mikutano uliopo katika ofisi za Halmashauri, na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa kisiasa, baadhi ya wananchi, pamoja na watendaji wa serikali kwa ngazi ya Kata na Halmashauri.


 

Akitoa salamu za ufunguzi wa mkutano huo, Mhe. Digha amewasisitizia atendaji wa kata na wakuu wa idara za Halmashauri kuhakikisha wanafanyia kazi vizuri, fedha zilizoletwa kwaajili ya miradi ya Maendeleo. 

“Kuna fedha zimeingia muda sio mrefu, bado hazijaanza kazi, kuna baadhi ya shule za misingi zimepata fedha, kwahiyo naomba kwa fedha zile zilizokuja juzi, naomba watendaji wa kata mlioko kwenye maeneo yenu, pamoja na wakuu wa idara husika, hakikisheni zile fedha zinafanya kazi vizuri. Kuna baadhi ya shule zimepata vyumba vya madarasa, na wengine wamepata nyumba za walimu, kwahiyo nendeni mkasimamie ile miradi vizuri na iishe kwa wakati” Alisema Mhe. Digha.


Vilevile, suala la ukusanyaji wa mapato limeendelea kusisitizwa, hasa kwa watendaji wa kata, ambapo katika uwasilishwaji wa taarifa za utekelezaji wa shughuli za Halmashauri kwa kila kata, suala la ukusanyaji wa mapato limechukua uzito mkubwa.


 

Hata hivyo, Mwenyekiti wa Halmashauri amewasisitizia watendaji wa kata kuhakikisha wanakaba mianya yote ya mapato, ili kufikia lengo la ukusanyaji wa mapato kwa asilimia mia moja, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, lengo la Halmashauri lilikuwa ni kukusanya shilingi Bilioni 2.6, hivyo kufikia mwishoni mwa mwezi wa sita,  kila Mtendaji wa kata, anatarajiwa kufikisha Asilimia Miamoja katika ukusanyaji wa mapato kulingana na kiasi alichopangiwa kukusanya katika kata yake.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2025 June 10, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 17, 2025
  • MAENEO YA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA January 03, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TASWIRA YA DARAJA LA JP MAGUFULI, (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • MKUTANO WA 3 (2024/2025) WA JUMUIA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (ALAT)

    June 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

    June 17, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.