• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MKUU WA MKOA AAGIZA MAAFISA UGANI KUTOKA OFISINI

Posted on: January 9th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Peter Serukamba leo tarehe 09/01/2024 amekutana na Waheshimiwa Madiwani, Watendaji wa Kata Maafisa Ugani Maafisa Tarafa, Maafisa Elimu Kata, Wadhibiti Ubora Elimu na Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Manispaa. 

Katika kikao hicho kilichohudhuriwa pia na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mhe. Elia Digha na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida  Mhe. Yagi Kiaratu. Mkuu wa Mkoa amepokea Taarifa na Kutoa Maelekezo yake juu ya Hali ya Usambazaji Mbegu na Mbolea kwa wakulima wa Wilaya ya Singida,Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo na Zoezi la Uandikishaji Wanafunzi kidato Cha kwanza ,Darasa la Kwanza na Darasa la Awali.

Akiongea na Maafisa Ugani Mhe. Serukamba amewataka kuwa na utaratibu wa kuwatembelea wakulima shambani na kuwashauri juu ya matumizi Bora ya mbegu na Mbolea kwa Kilimo chenye tija.Amesema tofauti kati ya Mkoa wa Singida na Mikoa Tano Bora kwa uzalishaji ni kwenye utumiaji wa Mbolea sahihi na kwa kiwango sahihi Akitolea mfano zao la Kitunguu wakulima wetu wanatumia Mbolea kidogo kupelekea mavuno haba (gunia 10 kwa heka) amesema tafiti zinaonyesha kuwa heka moja ya shamba la Kitunguu inaweza kutoa kati ya gunia 50 mpaka 80 kama mkulima atatumia mifuko minne ya Mbolea ya kupandia,mifuko miwili na nusu ya Mbolea ya kukuzia na mifuko miwili na nusu ya Mbolea ya kunenepesha mazao.

"Kila Afisa Ugani atapimwa katika haya; kwanza kama anaishi kwenye Kata yake; pili ameandikisha wakulima wangapi kwenye daftari;tatu ni alivyo pima Afya ya udongo kwa wakulima wa eneo lake; nne amegawa mbegu kiasi gani na Mbolea kiasi gani na mwisho atapimwa wakati wa Mavuno ili tuone kwenye Kata yake uzalishaji umekua kwa kiasi gani.Haiwezekani mtu akapata mshahara bila kupimwa hauwezekani"

Akizungumzia swala la Uandikishaji Darasa la Awali,darasa la Kwanza na Kidato Cha kwanza Mheshimiwa Serukamba amewaomba viongozi kusimamia jambo Hilo na kuhakikisha kuwa Watoto wote wanaotegemewa kuandikishwa wanapata nafasi kwani serikali imewajengea madarasa na yafaa yawe na Wanafunzi. Amewaomba wakurugenzi Watendaji  kusimamia suala la utoro kazini kwa kuhakikisha kuwa kila Shule ya Msingi na Sekondari inakuwa na daftari la mahudhurio ili kuonyesha ni mara ngapi Afisa Elimu Kata na Mdhibiti Ubora wamefika Shuleni hapo.Mhe. Serukamba pia amewaagiza Maafisa Elimu Kata kuhakikisha kuwa wanakaa kwenye Kata zao ili kurahisisha utoaji huduma.

Pia amewaomba Maafisa Elimu kata wakati wa kutekeleza majukumu yao wabaini watoto watoto na kuwafikisha kwa Watendaji na wenyeviti wa vijiji ili hatua stahiki zichukuliwe kukomesha utoro.
Amewashauri pia kuwashawishi wazazi kuchangia chakula Cha wanafunzi Shuleni ili kuongeza ufaulu kwenye Shule zetu.

" Tupambane watoto wetu wakae Shuleni ,tuongee na wazazi ,wazazi wachangie chakula ili watoto wetu wapate chakula Mashuleni"

Akizungumzia swala la Uandikishaji Darasa la Awali,darasa la Kwanza na Kidato Cha kwanza Mheshimiwa Serukamba amewaomba viongozi kusimamia jambo Hilo na kuhakikisha kuwa Watoto wote wanaotegemewa kuandikishwa wanapata nafasi kwani serikali imewajengea madarasa na yafaa yawe na Wanafunzi. Amewaomba wakurugenzi Watendaji  kusimamia suala la utoro kazini kwa kuhakikisha kuwa kila Shule ya Msingi na Sekondari inakuwa na daftari la mahudhurio ili kuonyesha ni mara ngapi Afisa Elimu Kata na Mdhibiti Ubora wamefika Shuleni hapo.

Pia amewaomba Maafisa Elimu kata wakati wa kutekeleza majukumu yao wabaini watoto watoto na kuwafikisha kwa Watendaji na wenyeviti wa vijiji ili hatua stahiki zichukuliwe kukomesha utoro.
Amewashauri pia kuwashawishi wazazi kuchangia chakula Cha wanafunzi Shuleni ili kuongeza ufaulu kwenye Shule zetu.

" Tupambane watoto wetu wakae Shuleni ,tuongee na wazazi ,wazazi wachangie chakula ili watoto wetu wapate chakula Mashuleni"

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2025 June 10, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 17, 2025
  • MAENEO YA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA January 03, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TASWIRA YA DARAJA LA JP MAGUFULI, (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • MKUTANO WA 3 (2024/2025) WA JUMUIA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (ALAT)

    June 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

    June 17, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.