Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Mdau wa JSI wametoa zawadi ya Projector,Laptop na Cheti cha ushindi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Singida kupitia idara ya Afya kwa kufanya vizuri katika mnyororo wa Ugavi wa upatikanaji wa bidhaa za Afya(Supply chain Perfomance)
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.