• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

KIKAO CHA WILAYA CHA MFUKO WA AFYA YA JAMII ILIYOBORESHWA (iCHF)

Posted on: September 2nd, 2025

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Singida, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya, Mhe. Godwin Gondwe ameongoza kikao cha wilaya cha Mfuko wa afya ya jamii iliyoboreshwa ( iCHF) kilichohusisha Bodi za watoa huduma za afya kutoka katika Halmashauri ya Wilaya na Manispaa ya Singida, Watendaji wa Kata na Maafisa Tarafa wa Halmashauri ya wilaya na Manispaa ya Singida pamoja na Timu za watoa huduma za afya za Halmashauri na Manispaa ya Singida.

Kikao hicho kimefanyika kwa lengo la kujadili na kutathmini taarifa za shughuli za uandikishaji wa Bima ya Afya ya Jamii iliboreshwa, kwa kipindi cha Robo ya Nne (Aprili - Juni 2025), katika Halmashauri zote mbili za Wilaya ya Singida ambazo ni Halmashauri ya Manispaa na Wilaya ya Singida.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAWAPONGEZA WALIMU KWA MAFANIKIO YA ELIMU YA MSINGI

    February 14, 2026
  • MHE. ELIA DIGHA AMEONGOZA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI.MHE. ELIA DIGHA AMEONGOZA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI.

    February 13, 2026
  • KIKOSI KAZI CHA SAMIA CHATATUA KERO 952 WILAYA YA SINGIDA

    February 11, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAKABIDHI VIFAA VYA UFUGAJI NYUKI KWA VIKUNDI VYA VIJANA

    February 09, 2026
  • Angalia zote

Video

MHE. ELIA DIGHA ASISITIZA SUALA LA UKUSANYAJI WA MAPATO.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.