Ujenzi wa Jengo la Wagonjwa Mahututi(ICU) katika Hospitali ya Wilaya ya Singida lafikia hatua za mwisho.Ujenzi huo umegharimu kiasi cha shilingi Tsh 250,000,000/= zilizotokana na ufadhili wafedha za UVIKO 19. Jengo hilo litakapokamilika litawaondolea wananchi adha ya kukosa huduma hiyo kwa miaka mingi sasa.
picha 1
picha2
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.