• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

WAKULIMA WAELIMISHWA MBINU BORA MSIMU MPYA WA KILIMO 2023/2024

Posted on: September 18th, 2023

Kikosi kazi kutoka Idara ya Kilimo ,Mifugo na Uvuvi  kimefanya zoezi la  kuhamasisha msimu mpya  wa kilimo kwa mwaka 2023/2024 kwa wakulima wa kata ya Merya kwa kuwahimiza kuandaa mashamba na kuhakikisha wananunua mbegu bora.


Akiongea na Wananchi wa Kata ya Merya Kaimu Afisa Kilimo(W) wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Ndg Salum  Athumani amewahamasisha wakulima kujiandikisha kwenye daftari la Mbolea ya Ruzuku ili waweze kupatiwa Mbolea ya bei nafuu inayotolewa na Serikali.


Naye Afisa Ushirika(W) wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Ndg Godfrey Bureta amewakumbusha wakulima waliokopeshwa mbegu ya Alizeti kwa msimu uliomalizika wahakikishe wamelipa deni ili kuruhusu Serikali kuwahudumia wananchi wengi zaidi kwa msimu huu unaokuja.

Zoezi la uhamasishaji wa Msimu mpya wa Kilimo 2023/2024 linatarakiwa kuendelea katika kata zote za Halmashauri.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SINGIDA DC NA MKALAMA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KUPITIA BONANZA LA MICHEZO

    January 31, 2026
  • TATHMINI NA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO.

    January 30, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAANDAA KIKAO CHA USINDIKAJI WA VYAKULA VYENYE LISHE

    January 30, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAFANYA TATHMINI YA MAOMBI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10, KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    January 27, 2026
  • Angalia zote

Video

VIJANA WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.