• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC GONDWE AWAASA WATUMISHI SINGIDA DC

Posted on: March 26th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Godwin Gondwe leo tarehe 26/03/2024 amefanya kikao na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Viongozi wa Taasisi za Serikali zilizopo katika Halmashauri ya Singida DC.  Akiongea wakati wa Kikao hicho DC Gondwe amewaasa Watumishi kuzingatia ubora wa Huduma wanazotoa kwa Wananchi kwani kipaumbele cha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ni kuwaletea Maendeleo ya kijamii na kiuchumi Wananchi wake.Amesisitiza Ushirikiano wakati wa utekelezaji wa majukumu,Usimamizi thabiti wa Miradi ya Maendeleo,Ubunifu katika ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri,usafi wa Mazingira,Nidhamu ya kazi na kutambua wajibu wao katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku.

Akiongea kwa niaba ya Watumishi Katibu Tawala wa Wilaya Bi Naima Chonjo amemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa Maelekezo yake na kumuahidi kuwa Watumishi wa Singida Dc watayafanyia kazi yale yote aliyowaeleza..

Awali kabla ya Mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Godwin Gondwe alipata wasaa wa kusalimia Waheshimiwa Madiwani waliokuwa kwenye kikao cha Baraza la Madiwani.Mhe. Gondwe amewaomba Madiwani kumpa ushirikiano kwenye utekelezaji wa shughuli za Serikali ndani ya Halmashauri yetu.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2025 June 10, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 17, 2025
  • MAENEO YA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA January 03, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TASWIRA YA DARAJA LA JP MAGUFULI, (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • MKUTANO WA 3 (2024/2025) WA JUMUIA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (ALAT)

    June 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

    June 17, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.