Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Singida ndugu Ester Anania Chaula anawatangazia watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida kuomba nafasi za kazi kama tangazo linavyojieleza.
Aidha mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 06 Machi, 2023 saa 9:30 alasiri.
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.