Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa ya Wilaya ya Singida anapenda kuwaarifu kuwa wafuatao wameitwa wenye usaili wa kazi za muda za MAKARANI NA WASIMAMIZI WA MAUDHUI na WASIMAMIZI WA TEHAMA
(I) WASIMAMIZI WA TEHAMA usaili utafanyika kwenye ukumbi wa zamani wa Halmashauri (uliopo Singida mjini)
(II) MAKARANI NA WASIMAMIZI WA MAUDHUI usaili utafanyika kwenye Ofisi ya Mtendaji wa kata husika
(III) Kila Msailiwa atajigharamia Usafiri,Chakula na Malazi.
(IV) Usaili unawahusu waombaji wote waliokamilisha Mchakato wote wa Maombi kwenye Mfumo na kuwasilisha Fomu za Maombi kwenye ofisi za Watendaji wa Kata
(V) Kila Msailiwa azingatie tarehe 20-07-2022 muda wa kuanza ni saa 2:00 Asubuhi
Kuona kama umeitwa fungua KATA uliyoomba hapa chini
Ilongero
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.