Mheshimiwa mwenyekiti H/W Singida akizungumza wakati wa kikao cha baraza maalum la bajetin 13/02/2018
February 20th, 2018
Waheshimiwa wabunge Mhe. Asharose Matembe (Viti maalum Singida) na Mhe. Justine Monko (Singida Kaskazini) wakizungumza wakati wa kikao cha baraza maalum la bajeti 13/02/2018
February 20th, 2018
Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa H/W Singida akijibu baadhi ya maswali ya waheshimiwa madiwani wakati wa kikao cha baraza maalum la bajeti 13/02/2018