Mwenge wa Uhuru 2019 Katika Halmashari ya wilaya ya Singida ulipitia jumla ya miradi 3 yenye thamani ya Tsh 659,645,250 na matukio 7 imewekewa jiwe la msingi kutembelewa na kuzinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa. Katika miradi hiyo michango ya wananchi ni Tsh 7,312,000 Serikali Kuu ni Tsh 500,000,000 na michango ya wahisani ni Tsh 152,333,250 Miradi hiyo 3 na matukio 7 ni pamoja na Kuweka jiwe la Msingi Bwalo la chakula shule ya Msingi Genezareti Uzinduzi wa mradi wa maji Itaja Sekondari, Kutembelea ujenzi wa kituo cha afya Msange Kuona shughuli za vikundi ambavyo vimepewa mikopo na Halmashauri ya Wilaya ya Singida Ukaguzi uimarishaji wa club ya kupambana na Rushwa Maghojoa Mapambano dhidi ya Malaria na UKIMWI Mapambano dhidi ya madawa ya kulevya na maonyesho ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. (Orodha ya miradi husika imeambatanishwa kwa rejea).
![]() |
![]() |
|
|
Bomani Area
Anuani ya Posta: Box 27, Singida
Simu: +25526502252
Simu ya Mkononi: +25526502237
Barua Pepe: ded@singidadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.