• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji na Udhibiti wa Majitaka
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria na Usalama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Ardhi na Maliasili

Maeneo mengi duniani masuala ya ardhi yameonekana kuwa na migogoro iliyoleta maafa. Halmashauri kupitia Idara ya Ardhina Maliasili, imeendelea kuweka mipango madhubuti ya matumizi bora ya ardhi kwakushirikiana na wadau mbalimbali ambapo imeendelea kutoa elimu dhidi ya mipango ya matumizi bora ya ardhi.  Kazi iliyofanywa ni pamoja na:-

  • Uandaaji Michoro  ya  Mipangomiji, Halmashauri imefanikiwa kuandaa   michoro   ya  Mipango miji nne(4)  katika  maeneo  ya Ilongero, Mtinko, Njiapanda ya Merya  na  Mnung’una  ambayo   tayari imeidhinishwa na baadhi ya maeneo  tayari   yamepimwa  na   kuandaliwa  hati.
  • Mpango wa matumizi bora ya Ardhi na utoaji wa hati za kimila, Halmashauri imefanikiwa kuandaa Mpango wa matumizi bora ya Ardhi katika Vijiji tisa (9). Hata  hivyo  Halmashauri    imeanza   taratibu  za  kupima  mashamba  ya   wananchi  ili  waandaliwe  hatimiliki za  kimila. Mpaka sasa hati 30 za kimila zimeshatolewa.
  • Utoaji wa maeneo ya uwekezaji na Viwanda vidogovidogo.
  • Halmashauri tayari imefanya uhamasishaji na  uhalalishaji   kwa baadhi  ya Vijiji  kutenga  maeneo   kwa ajili ya   shughuli  za  viwanda  vidogovidogo. Hadi  sasa  zimepatikana  ekari  200 kwa  ajili ya  ujenzi  wa  viwanda.
  • Halmashauri ya Wilaya kwa kushirikiana na vijiji nane(8) imetenga eneo la uwekezaji wa kuzalisha umeme wa upepo kupitia kampuni ya upepo energy partiners Ltd ya kimarekani utafiti wa mradi huo umefanyika katika eneo la hekta 25,000 katika vijiji vya msikii, Kinyamwenda, Kinyagigi, Mwanyonye, Mipilo, Mangida, Kinyamwambo na Itaja. Eneo linaloombewa kibali cha uhawilishaji wa ardhi ya ujenzi wa mradi huu ni ekari 4,341.
  • Halmashauri ya Wilaya kwa kushirikiana na vijiji viwili (2) vya Nkwae pamoja na Njiapanda ya Merya imetenga eneo la stendikatika vijiji hivyo viwili ambapo stendi zitajengwa na kazi inaendelea.

 

  • Uanzishwaji wa  Mji  Mpya  wa Kisasa  eneo la  Njiapanda ya Merya kandokando  ya  barabara   iendayo  Arusha:

Halmashauri imeandaa mchoro  wa mpaka wa mji huo na michoro minne (4) ya Mipangomiji  ambayo   imezingatia  ujenzi  wa  mji mpya  wa  kisasa   katika  eneo la  Njiapanda ya  Merya  wenye  jumla  ya  hekta  5,480. Jumla ya viwanja 725 vinatarajia kuuzwa kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI (MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA III) March 09, 2021
  • WALIOCHAGULIWA DARASA LA SABA 2020 December 20, 2020
  • MIFUKO YA PLASTIKI YAPIGWA MARUFUKU May 17, 2019
  • GPSA LIST OF SUPPLIERS FOR 2019/2020 January 01, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO YA WIKI YA MGONJWA YASIYOAMBUKIZA TAREHE 7 - 14 NOVEMBA 2020

    November 16, 2020
  • NAIBU WAZIRI WA NCHI - OFISI YA RAIS ,MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA AFANYA ZIARA YA KIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA KUANGALIA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF)

    January 07, 2020
  • MWENGE WA UHURU 2019 WAPOKELEWA KWA SHANGWE HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    August 23, 2019
  • WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS TAMISEMI MHESHIMIWA SULEMAN JAFFO (MB) AKIKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    July 10, 2019
  • Angalia zote

Video

Mheshimiwa mwenyekiti H/W Singida akizungumza wakati wa kikao cha baraza maalum la bajetin 13/02/2018
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Bomani Area

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi: +25526502237

    Barua Pepe: ded@singidadc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.